Skip to main content
Skip to main content

Maslahi ya watoto walemavu Nyandarua

  • | Citizen TV
    403 views
    Duration: 1:30
    Walezi wa watoto wenye ulemavu Kaunti ya Nyandarua wanatoa wito wa hatua za haraka kutoka kwa jamii, sekta ya umma, na mashirika ili kuziba pengo linalozidi kuongezeka la mahitaji ya watoto wenye ulemavu, wakisema kuwa rasilimali zilizopo hazitoshi kukidhi mahitaji hayo yanayoongezeka