- 1,181 viewsDuration: 3:41Maswali yameibuka kuhusu usalama wa taarifa za kibinafsi za matibabu za mamilioni ya Wakenya chini ya bima ya SHA. Hii ni baada ya kisa cha Mkenya mmoja ambaye anaishi na kufanya kazi jijini Nairobi kupata taarifa kuwa bima yake ilitumika katika Kaunti ya Garissa wakati ambapo yeye alikuwa ofisini jijini. Obed Oruki amesema kuwa aligundua rekodi zake zinaonyesha kuwa alipatikana na ugonjwa na yuko kwenye matibabu ya siku tano, ingawa yeye si mgonjwa.