- 21,356 viewsDuration: 1:48Baada ya makubaliano ya kusitisha vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran kwa wiki mbili yakianza kutekelezwa, mataifa yanayozalisha mafuta yameanza kupata umaarufu kwani yamegeuka kuwa tegemeo la mataifa mengi. Asha Juma anatuelezea mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani #bbcswahili #Marekani #MafutaIran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw