Skip to main content
Skip to main content

Matiang’i amtaka Ruto kuondoka, Nyoro asema kuna njama ya kumuondoa Kanja

  • | Citizen TV
    29,130 views
    Duration: 2:58
    Naibu Kinara wa chama cha Jubilee Fred Matiangi anamtaka rais William Ruto kuondoka mamlakani, kwa kukosa kuhakikishia wakenya usalama. Wakati huo huo, kinara wa chama cha People's Party Ndindi Nyoro amesema kwamba kuna njama ya kumuondoa inspekta mkuu wa Polisi Douglas Kanja mamlakani, kwa kushindwa kukabiliana na makundi ya vijana yanayoshambulia viongozi wa upinzani kwenye mikutano ya kisiasa.