- 2,026 viewsDuration: 5:02Maumivu ya magoti, mikono, mabega au viungo vingine vya mwili yanaweza kuonekana kama maumivu ya kawaida yanayokuja na kuondoka. Lakini kwa baadhi ya watu, maumivu haya yanaweza kuwa ishara ya ugonjwa wa Arthritis unaoathiri viungo na kufanya shughuli za kila siku kuwa changamoto. Katika makala hii ya Siha na Maumbile hii leo Daktari Rahab Nyokabi kutoka Equity Afya Ruiru anatujuza mengi