- 2,626 viewsDuration: 2:12Mawakili katika sehemu mbalimbali nchini wameandamana kulalamikia mauaji ya wenzao wawili, wakitaka usalama wao uimarishwe. Wakiongozwa na Law Society of Kenya, mawakili hao wametaka uchunguzi wa haraka na majibu kuhusu mazingira yaliyosababisha mauaji ya mawakili Edward Kariuki Muthee na Esther Wairimu Keige, huku wakisisitiza waliohusika wafikishwe mbele ya sheria.