26 Oct 2026 10:19 am | Citizen TV 5,396 views Duration: 1:52 Mawakili wakiongozwa na Shadrack Wambui wa kikundi cha Sheria Mtaani wametishia kuchukua hatua za kisheria kupinga marekebisho ya sheria ya uchaguzi wanayodai yanakiuka Katiba ya Kenya.