Skip to main content
Skip to main content

Maxine Wahome aachiliwa huru katika kesi ya mauaji ya Asad Khan

  • | Citizen TV
    927 views
    Duration: 1:18
    Dereva wa magari ya langalanga Maxine Wahome ameachiliwa huru baada ya mahakama kuamuru kuwa hakuwa na mashtaka ya kujibu. Jaji wa mahakama kuu Lilian Mutende amesema upande wa mashtaka haukutoa ushahidi wa kutosha kumshtaki maxine kwa mauaji ya mpenzi wake Asad Khan mwaka 2022.