- 675 viewsDuration: 2:21Ibada ya mazishi ya mbunge wa zamani wa lugari cyrus jirongo inaendelea katika eneo la lumakanda eneo bunge la Lugari kaunti ya Kakamega. Viongozi wakuu serikalini, jamaa na marafiki wanahudhuria hafla hiyo. Mazishi hayo yanajiri wakati ambapo kumekuwa na shinikizo ya baadhi ya viongozi kutaka jirongo azikwe kuzingatia tamaduni zote za jamii ya watiriki.