- 2,400 viewsDuration: 2:54Baadhi ya wazazi bado wako kwenye njiapanda kuhusu shule watakaojiunga nazo watoto wao wanaojiunga na sekondari ya juu. Msongamano umeshuhudiwa kwenye baadhi ya shule maarufu nchini kwa wazazi kutafuta nafasi. Haya yanajiri huku muungano wa waalimu wa KUPPET ukilalamikia utayari wa serikali kwa wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10