26 Aug 2026 10:23 am | Citizen TV 102 views Duration: 1:32 Mbunge wa Awendo, Walter Owino, aitaka serikali kupeleka walimu zaidi katika shuleni vijijini ili kuziba pengo la uhaba wa walimu mashinani.