Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Kajiado Kaskazini Ngogoyo akemea matumizi ya matamshi ya kikabila katika siasa

  • | Citizen TV
    1,425 views
    Duration: 3:13
    Onesmus Ngogoyo amewataka viongozi kuacha kutumia matamshi ya kikabila katika siasa, akisema wananchi wanaodhalilishwa watapata fursa ya kutoa uamuzi wao kupitia kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.