Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Laikipia amkashifu Murkomen kwa kutotimiza ahadi yake ya kuwasaka majangili

  • | NTV Video
    140 views
    Duration: 1:18
    Mbunge wa Laikipia Kaskazini Sarah Korere amemkashifu waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kwa kutotimiza ahadi yake ya kuanzisha operesheni ya kuwasaka majangili katika msitu wa mukogodo licha yake kutoa agizo hilo zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya