- 468 viewsDuration: 1:01Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji amesema ushuru wa juu kwa chakula cha mifugo na pembejeo nyingine za kilimo inachangia uzalishaji mdogo wa maziwa, akitaka ushuru huo upunguzwe zipunguzwe ili kuwezesha nchi kukabiliana na uhaba wa maziwa. Matamshi yake yanajiri kufuatia pendekezo la rais William Ruto la kuanzisha ufugaji wa nyati wa majini kama njia mbadala ya kuongeza uzalishaji wa maziwa nchini.