27 Jul 2026 1:22 pm | Citizen TV 413 views Duration: 2:16 Mbunge wa Tarbaj, Hussein Abdi Bare, ametoa wito kwa wakazi wa Kaskazini mwa Kenya kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kuwa wapiga kura ili kuimarisha ushawishi wa eneo hilo katika maamuzi ya kitaifa.