Skip to main content
Skip to main content

Mchezo wa Anza MMA pro nights 3 kufanyika kesho Nairobi

  • | Citizen TV
    271 views
    Duration: 9:21
    Wapenzi wa mchezo wa karate wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake Jumamosi katika ukumbi wa Village Market, Nairobi, kuanzia saa kumi na mbili jioni katika mgaragazano wa ANZA MMA Pro Nights 3. Wapiganaji 16 watashiriki katika mapambano manane, wakiwakilisha mataifa sita ya Afrika — Kenya, Uganda, Tanzania, Angola, Madagascar na Sudan Kusini.