Skip to main content
Skip to main content

Mchuano wa Mashujaa

  • | Citizen TV
    1,216 views
    Duration: 1:31
    Wazalendo united kutoka kaunti ya Uasin Gishu itamenyana na Iten United ya kaunti ya Elgeyo Marakwet katika fainali ya Mashujaa Cup 2026, itakayochezwa jumanne alasiri katika uwanja wa Kipchoge Keino mjini Eldoret