Skip to main content
Skip to main content

Mdahalo kuhusu bei ya mafuta waendelea kuchacha bungeni

  • | Citizen TV
    1,986 views
    Duration: 2:28
    Mdahalo kuhusu bei ya mafuta umeendelea kuchacha katika bunge la kitaifa hii leo, huku wabunge wakiwasilisha mapendekezo yao. Upinzani mkali umeibuka kati ya mbunge wa kiharu Ndindi Nyoro na wabunge wanaounga mkono serikali. Baadhi ya wabunge wamependekeza serikali kupunguza ushuru wa mafuta ili kupunguza gharama kwa wananchi, wakati wengine wakisisitiza kuwa bei hizo zibaki kama zilivyo. Wengine wameitaka serikali kupunguza bei ya bidhaa kwa ujumla ili kuwapa wakenya nafuu kutokana na makali ya hali ya uchumi.