Skip to main content
Skip to main content

Mdhibiti wa Bajeti aeleza jinsi serikali ilivyotumia fedha za ziada mwaka wa fedha wa 2025/2026

  • | NTV Video
    406 views
    Duration: 3:18
    Katika mwaka wa fedha wa 2025/2026, serikali ya kitaifa iliidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 281 za matumizi ya ziada. Mdhibiti wa Bajeti anasema baadhi ya fedha hizo zilielekezwa kwa shughuli za kawaida za serikali ambazo zingepaswa kuzingatiwa wakati wa kuandaa bajeti. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya