21 Dec 2025 7:58 pm | Citizen TV 406 views Duration: 1:19 Mechi ya ligi kuu ya kenya kati ya klabu ya nyumbani ya Nairobi United na Gor Mahia ilitibuka katika dakika ya 58 baada ya machafuko kuzuka uwanjani kufuatia bao la kusawazisha kutoka kwa Naibos.