- 8,582 viewsDuration: 1:15Mfanyabiashara Caroline Lihavi Imbayi amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la kula njama za kutapeli. Kwa mujibu wa maelezo ya shtaka, kati ya Machi 18, 2024 na Juni 20, 2024, katika eneo la Buruburu, Embakasi, Kaunti ya Nairobi,