Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro wa bajeti watatiza shughuli za Bunge la kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    541 views
    Duration: 2:01
    Huenda shughuli za kawaida za Bunge la Kaunti ya Machakos zikakwama karibuni, huku baadhi ya Wawakilishi Wadi kutoka upande wa walio wengi wakisema bunge hilo limekosa fedha za kuendesha shughuli zake.