Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro wa umiliki wa ardhi ekari 152 Ruai waendelea kuzua taharuki

  • | Citizen TV
    2,671 views
    Duration: 2:24
    Mgogoro umeendelea kuhusu umiliki wa kipande cha ardhi cha ekari 152 katika mtaa wa Chokaa, eneo la Ruai jijini Nairobi. Utata wa umiliki wa ardhi hiyo unahusisha kampuni tatu zinazodai kuwa wamiliki halali wa eneo hilo. Mgogoro huo sasa umegeuka na kuwa tishio kwa usalama wa wahusika wanaohusika na sakata hilo.