16 Oct 2026 10:29 am | Citizen TV 821 views Duration: 1:49 Muungano wa Wataalamu wa Afya ya Mazingira na Afya ya Umma nchini umeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mgomo wa maafisa wa afya ya umma, ambao umeingia siku ya 88 leo.