- 1,095 viewsDuration: 3:25Wafanyakazi wa viwanja vya ndege walirejea kazini kufuatia makubaliano yaliyoafikiwa kwenye mkutano uliofuatia mgomo huu wa siku mbili. Hata hivyo, mgomo huu umesababisha hasara huku sasa ndege nyingi zikiandikisha hasara ya mamilioni.