- 339 viewsDuration: 3:16Mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu umeingia wiki ya pili ambapo wanafunzi wameendelea kukosa masomo mgomo huo unapoendelea. Wahadhiri wakiendelea kusisitiza kuwa hawatarejea darasani hadi serikali itekeleze matakwa yao, wanafunzi sasa wanataka serikali na wahadhiri kuelewana haraka ili kuhakikisha masomo yao yanaendelea. Katika baadhi ya vyuo vikuu tulivyozuru leo, wanafunzi wanasema wanaendelea kugharamika na mgomo huo