2 Sep 2026 10:18 am | Citizen TV 56 views Duration: 1:35 Muungano wa wauguzi katika kaunti ya Kisii wakiongozwa na viongozi wa wauguzi kitaifa wamesisitiza kuendelea na mgomo wa wanachama wao katika kaunti hiyo.