Skip to main content
Skip to main content

Mhubiri jijini Eldoret mlemavu apewa kiti cha magurudumu na kundi la wasamaria wema

  • | Citizen TV
    3,845 views
    Duration: 2:08
    Hali ya furaha yatanda jijini Eldoret baada ya mhubiri wa injili Richard Nyamunyamu, ambaye ni mlemavu, kupewa kiti cha magurudumu cha umeme na kundi la wasamaria wema kutokana na video yake isambaayo mitandaoni akiimba pamoja na binti yake wakati wa siku ya maombi katika Shule ya Wasichana ya Moi Girls Kapsowar, Kaunti ya Elgeyo Marakwet.