- 18,431 viewsDuration: 48s"Mikopo ipo lakini misaada safi imepungua kwahiyo tukusanye ndani ili tuweze kufanya mambo yetu" Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea ripoti ya tume ya rais ya kutathmini maboresho ya mfumo wa kodi nchini #bbcswahili #tanzaniamikopo #samiasuluhu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw