10 Sep 2026 10:38 am | Citizen TV 346 views Duration: 1:19 Kesi nyingi za mizozo ya ardhi zimerundikana, huku Hakimu Mkuu Kirui akisema baadhi ya migogoro hiyo imehusishwa na vitisho vya mauaji.