Siasa nchini zimepamba moto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wakikabiliwa na lawama za kuendesha kampeni mapema kupitia ziara na mabango makubwa ya barabarani. Hatua hiyo imeibua mjadala kuhusu utekelezaji wa sheria inayotaka kampeni rasmi kuanza miezi mitatu pekee kabla ya uchaguzi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya