Skip to main content
Skip to main content

Mjakazi akamatwa kwa madai ya kumuiba mtoto wa mwajiri wake

  • | Citizen TV
    30,536 views
    Duration: 2:36
    Mjakazi amekamatwa kwa madai ya kumuiba mtoto wa mwajiri wake katika Kaunti ya Narok. Mshukiwa alikamatwa akiwa ndani ya gari lililokuwa likielekea Bungoma.