- 2,103 viewsDuration: 2:35Wanafunzi 16 wa shule ya wasichana ya Utumishi huko Gilgil, kaunti ya Nakuru wafariki huku wengine 79 wakikimbizwa hospotalini ambapo 7 wangali wamelazwa. Hii ni kutokana na Mkasa wa moto kwenye bweni. Maafisa wakuu wa usalama akiwemo waziri wa usalama Kipchumba Murkomen wafika katika shule hiyo huku waafisa wa DCI wakichunguza kiini cha moto huo.