Skip to main content
Skip to main content

Mkewe mkuu wa mawaziri Tessie Mudavadi awahimiza wazazi kuwasajili watoto wenye ulemavu

  • | Citizen TV
    311 views
    Duration: 1:36
    Tessie Mudavadi, amewahimiza wazazi kusajili watoto wao wenye ulemavu na Baraza la Taifa la Watu Wenye Ulemavu. Alikosoa wazo la kuwasajili watoto kama lebo au unyanyapaa badala yake kama lango la huduma muhimu.