Skip to main content
Skip to main content

Mkulima wa Kakamega ashinda Sh1 milioni kwenye Shabiki InaGive

  • | Citizen TV
    362 views
    Duration: 1:11
    Peter Buralo Mkulima kutoka Kakamega ameibuka mshindi wa pili wa Shabiki InaGive kwa kujishindia shilingi milioni moja, baada ya kupata hesabu ya juu zaidi kwenye mchezo wa Crash kupitia Shabiki.com. Kwa Buralo, ushindi huu ni zaidi ya zawadi ya pesa, kwani anapanga kuwekeza katika kilimo na kutimiza ndoto yake ya kuwa mkulima mkubwa. Shabiki InaGive inaendelea juma lijalo, mshindi mwingine wa Ksh. 1 milioni akitarajiwa kutangazwa.