Skip to main content
Skip to main content

Mkurugenzi mkuu wa Ukuzaji wa Mitaala awahimiza wote wenye ujuzi wa kiufundi kupata vyeti na diploma

  • | Citizen TV
    351 views
    Duration: 1:18
    Mkurugenzi mkuu wa Ukuzaji wa Mitaala, Tathmini na Baraza la Uhakiki wa elimu ya Ufundi na mafunzo ya Ufundi Stadi almaarufu TVET awahimiza wote wenye ujuzi wa kiufundi kupata vyeti na diploma katika chuo chochote kilicho karibu nao, bila kupitia masomo yanayo peanwa kwenye vyuo hivyo. Asema hivi akiwa ofisini mwake ABSA towers hapa Nairobi, akihakikisha kwamba wanahitaji kutathminiwa kwa muda wa wiki moja na wataweza kuhitimu.