- 129 viewsDuration: 1:15Mkutano wa 5 wa Kikanda wa Utafiti kuhusu Utawala wa Ardhi unaendelea katika chuo cha mafunzo ya wafanyakazi wa Serikali , Lower Kabete, Nairobi. Mkutano huo unawaleta pamoja watafiti na watunga sera kujadili usimamizi bora wa ardhi, huku masuala ya usajili wa ardhi kidijitali , migogoro ya ardhi na mabadiliko ya tabianchi yakiwa miongoni mwa yanayojadiliwa.