Skip to main content
Skip to main content

Mkutano wa UDA watibuka Kapsabet

  • | Citizen TV
    8,771 views
    Duration: 1:47
    Mkutano wa wajumbe wa Chama cha UDA mjini kapsabet Kaunti ya Nandi ulitibuka baada ya wajumbe kuandamana wakidai waandalizi hawakufuata utaratibu mwafaka.