Skip to main content
Skip to main content

Mnyama katika kijiji cha Imenuet Narok magharibi adaiwaye kuwa fisi anahangaisha wafugaji

  • | Citizen TV
    929 views
    Duration: 1:25
    Familia moja katika kijiji cha Imenuet wadi ya Ilmotiok Narok magharibi yakadhiria hasara baada ya mnyama anayeshukiwa kuwa fisi kuvamia zizi lao na kuwauwa kondoo zaidi ya kumi .