- 1,085 viewsDuration: 1:27Kocha mkuu wa timu ya Mombasa United, Abdulhamid Moalim, ana imani kuwa timu yake itapata ushindi katika mechi yake ya ufunguzi ya Ligi Kuu ya Kenya dhidi ya Kakamega Homeboyz kesho katika uwanja wa michezo wa Mbaraki mjini Mombasa.