- 5,658 viewsDuration: 2:49Mfanyabiashara na mwanasiasa wa Mombasa, Suleiman Shahbal, amepinga kile alichokitaja kuwa ni juhudi za Rais William Ruto na washirika wake wa kisiasa kumzuia kugombea nafasi ya ugavana wa Mombasa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya