24 Sep 2026 2:02 pm | Citizen TV 724 views Duration: 1:17 Ligi kuu ya kenya ya kandanda hatimaye itaanza baada ya mapumziko ya kimataifa kufuatia mkutano uliofanikiwa ambao uliazimia kuwa na mchujo kati ya kariobangi sharks na mombasa united ili kutathmini timu ya 18 kwenye ligi.