- 5,791 viewsDuration: 3:08Huku mvua ya el nino ikitarajiwa mwezi ujao, Wakazi wa Mombasa tayari wameanza kukadiria hasara kutokana na mvua kubwa. Gavana abdulswamad sharriff amesitisha shughuli za ujenzi ili kuzuia maporomoko na kuruhusu maji ya mafuriko kupata pa kupitia. Barabara za pwani tayari zimefurika huku wanaoishi kwenye ufuo wa Ziwa Baringo, na katika maeneo tambarare yanayokumbwa na mafuriko huko Busia wakitaka mikakati zaidi kuwekwa