23 Sep 2026 10:36 am | Citizen TV 4,320 views Duration: 1:48 Mali ya thamani isiyojulikana iliteketetea baada ya moto mkubwa kutekekeza maduka zaidi ya kumi katika eneo la kibiashara la Ibiza huko Ukunda kaunti ya Kwale jana jioni.