12 Oct 2026 1:28 pm | Citizen TV 9,076 views Duration: 3:32 Siku moja tu baada ya mwanamke mmoja kufariki na wengine wawili kukwama ndani ya mgodi wa dhahabu wa lomeguro, turkana kaskazini,,mpasuko mkubwa wa ardhi imetokea eneo hilo na kusababisha machimbo mengi kuporomoka.