9 Jan 2026 1:36 pm | Citizen TV 396 views Duration: 1:39 Ni afueni kwa wakazi wa ukanda wa Pwani baada ya marekebisho na kuboreshwa kwa miundomisingi katika eneo la baricho ambalo linasambaza maji katika ukanda huo.