- 541 viewsDuration: 40sRais William Ruto ameongoza mpango wa kutoa pesa za mtaji wa biashara kwa vijana katika mradi wa NYOTA jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Mpango huu unalenga kuwapa vijana shilingi elfu 50 za kuanzisha biashara ndogondogo ili kuwawezesha kiuchumi.