19 Aug 2026 1:47 pm | Citizen TV 2,816 views Duration: 1:50 Wakazi na wafanyabiashara wanaotumia barabara ya Kathageri-Kanyuambora wanatumai mradi wa ujenzi wa barabara hiyo wa shilingi bilioni 2.2 utamaliza changamoto za usafiri ambazo zimeathiri biashara zao kwa miaka mingi.