Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa viongozi wa upinzani wavamiwa Garissa

  • | Citizen TV
    5,539 views
    Duration: 2:25
    Tukisalia kwenye vurugu za kisiasa, msafara wa viongozi wa upinzani huko Garissa ulivamiwa na kundi la vijana waliowarushia mawe viongozi hao na wafuasi wao. Vijana hao walivuruga mkutano wa upinzani, huku kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akilaani tukio hilo na kumlaumu Waziri wa Afya Aden Duale.