Skip to main content
Skip to main content

Msako wa silaha haramu Tana River

  • | Citizen TV
    2,150 views
    Duration: 2:04
    Ilani imetolewa kwa wanaomiliki silaha haramu katika kaunti ya Tana River kusalimisha silaha hizo katika kituo cha polisi karibu nao huku operesheni ya kusaka silaha hizo ikianza.